Skip navigation.

Mkombozi Centre for Street Children

Habari za Mkombozi kwa Kiswahili

Ingawa tovuti ya Mkombozi iko katika lugha ya Kiingireza tu, nia yetu ni kuandaa machapisho mengi kadri inavyowezekana kwa Kiingereza na Kiswahili. Ifuatayo ni orodha kamili ya machapisho yetu yaliyo katika Kiswahili:

Taarifa za utafiti:

Sera za ndani:

Majarida:

Photo of child

Jaribu kufikiri, kuishi mitaani. Hakuna chakula. Hakuna upendo. Una umri wa miaka 8. Nyumbani ni pabaya zaidi kuliko mitaani. Mkombozi hufanya kazi kuwapa watoto hawa nafasi ya kuishi kama watoto. Kuwapa matarajio ya baadaye.

Tusaidie... katika gharama za malezi kwa watoto 70 ambao wanaishi katika kituo chetu Moshi.

Tusaidie... katika kuamsha uelewa wa kazi za Mkombozi na katika kupata wahisani wengine.

Kuhusu ajira Mkombozi Kuhusu kujitolea Mkombozi